JACKSON MPANKULY
Organization Mpwapwa District Council
Pays Tanzanie
Région Afrique de l'Est
Secteur Secteur public
Poste / titre du poste Teacher
My experience in adult learning and education
Nimejifunza kuhusu Elimu ya Watu Wazima tangu nikiwa mdogo. Mama yangu alijifunza kusoma na kuandika kupitia mfumo huo chini ya mti. Wakati mama anajifunza nami nilikuwa najifunza. Hiyo ilinisaidi kujua kusoma na kuandika haraka tofauti na wenzangu nikiwa darasa la kwanza mwaka 1977. Kwa sasa nasimamia elimu ngazi ya Wilaya hivyo ninawiwa kusaidia wote wenye uhitaji. Kwa kuanza nimeshiki uanzishaji wa vituo vya kujifunzia vya jamii Mpwapwa.