Skip to content

Le foyer de la communauté africaine de l’éducation des adultes

Fausta Akaro

Organization RS KIGOMA

Pays Tanzanie

Région Afrique de l'Est

Secteur Secteur public

Poste / titre du poste Adult Education Officer

map

My experience in adult learning and education

Mimi ni mwezeshaji na msimamizi wa Elimu ya watu wazima. Nimefanya kazi Katika sehemuu ya EWW Kwa muda wa miaka 15 Kwa Sasa. Aidha shahada yangu ya kwanza ni ya EWW ambayo nimesoma Katika Taasisi ya Elimu ya Watu Wazima Tanzania. Nafanya kazi na wadau wengine Katika kutekeleza programu mbalimbali za Elimu ya Watu Wazima. Ni shauku yangu Kuona vijana na watu wazima wakijiunga na program mbalimbali za kielimu Katika jamii ambazo zitawasaidia kuwa na uelewa wa maswala tofautitofauti yatakayowasaidia Katika kuendesha maisha yao ya Kila Siku. Pia kuweza kushiriki Katika maswala mbalimbali ya uzalishaji mali.