BERNADINA KAHABUKA
Organization PO RALG
Pays Tanzanie
Région Afrique de l'Est
Secteur Secteur public
Poste / titre du poste District Education Officer
My experience in adult learning and education
Napenda kusimamia ufundishaji wa jamii/ elimu ya watu wazima Kwa sababu wana kisima wakishiriki kubainisha mahitaji yao katika makundi, wakipatiwa utaalamu, matokeo ya kujifunza y anapatikana haraka sana. Matokeo hayo ya naweza kuchangia uchumi wa Taifa na ongezeko la kidato Kwa Jaya na Kwa vikundi kupitia ujasiliamali, kimo na ufugaji, biashara na stadi za maisha.