Ernest Ng'umbi
Organisation CLC
Country Tanzania
Region East Africa
Sector Other
Position/Job title CLC Facilitator
My experience in adult learning and education
Nina miaka 15 nikiwa nashughurika na Elimu watu wazima, nimekuwa napenda kuwafundisha watu wazima kuhusu ufundi mbalimbali unaowawezesha kupunguza ukali wa maisha na kujipatia kipato.