Skip to content

The Home of Africa’s Adult Education Community

Belingtone Mariki

Organisation Institute of Adult Education

Country Tanzania

Region East Africa

Sector Government / Public sector

Position/Job title Senior Lecturer

map

My experience in adult learning and education

Nimefanya kazi za Elimu ya Watu Wazima kwa miaka 17 sasa na ninapenda sana fani hii kwani mimi ni mtaalam wa Maendeleo ya Jamii kitaaluma. Kimsingi Elimu ya Watu Wazima na Maendeleo ya Jamii ni fani ambazo zinalandana kwa namna ya utekelezaji wake katika kumfikia mlengwa. Kuna makala ya kitaaluma niliwahi kuandika juu ya mtazamo wa wanafunzi wetu juu ya shahada ya Elimu ya Watu Wazima na Maendeleo ya Jamii itolewayo na Taasisi ya Elimu ya Watu Wazima. Katika makala hii niling'amua ukaribu uliopo kati ya fani hizi mbili.

lazy-loading-logo